Tag: gazeti letu
Kiswahili ni lugha yetu, vipi tunakibananga? (2)
Hakika Kiswahili kilipata heshima, upendo na hifadhi kubwa kutoka wenyewe na wageni kutoka nchi za nje. Wageni hawa waliamua ku katika maandishi. Yaani vitabu viliandikwa na kuchapishwa, watu w kuvitunza. Vitabu vya mwanzoni viliandikwa kwa hati za Kirumi. Wamisionari w…
UJAMAA SI UBAGZI
Ujamaa hauna uhusiano na ragi, wala nchi atokayo mtu. Mtu yeyote mwenye akili, mwenye kuamini Ujamaa au asiyeamini, anafahamu kwambawako waminio Ujamaa katika nchi za Kibepari, na wanaweza kupatikana waaminio Ujamaa kutoka nchi za Kibepari. Mara nyingi watu wa namna…
Mafisadi wapiga
*Waorodhesha simu, majina hewa ya watu *Mbinu hiyo yawafanya watumbue mamilioni *Watumishi 11 wakiona cha moto, wafukuzwa ARUSHA NA MWANDISHI WETU Ufisadi wa mamilioni ya shilingi umebainika kufanywa kwenye miradi ya baiogesi inayosimamiwa na Kituo cha Zana za Kilimo na…
Unyama polisi
Unyama polisi *Mahabusu aliyejifungulia polisi hatimaye azungumza *Polisi wawa ‘miungu-watu’, wananchi wakosa mtetezi *Mbunge afichua rushwa, unyanyasaji, kubambikia kesi KILOMBERO, NA CLEMENT MAGEMBE “Mungu ndiye kimbilio hatuna tena mwingine”, haya ndiyo maneno yaliyoandikwa kwenye kanga iliyotumiwa na mahabusu Amina…
Jaji Warioba matatani
*Mtendaji TBA aagiza afukuzwe alikopanga *Yono wakabidhiwa kazi ya kumwondoa *Amri ya Mahakama inayomlinda yapuuzwa *Yeye asema hadaiwi, polisi wasita kumwondoa NA MANYERERE JACKTON Waziri Mkuu na Makamu wa Rais (mstaafu), Jaji Joseph Warioba, anafukuzwa kwenye…