JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: gazeti la jamhuri

JE, ALIYETEULIWA NA MAREHEMU KWENYE WOSIA KUSIMAMIA MIRATHI ANAHITAJI KUTHIBITISHWA NA MAHAKAMA?

Na Bashir Yakub Wako wasimamizi wa mirathi wa aina mbili. Kwanza ni yule ambaye marehemu mwenyewe amemteua kabla ya kufa kwake na akaandika/kusema kwenye wosia kuwa fulani ndiye  atakayesimamia  mirathi  yangu  baada  ya  kuondoka. Pili, ni yule ambaye  hakuteuliwa  na  marehemu mwenyewe bali  ameteuliwa na wanafamilia kwenye kikao  cha  familia. Kwa walio wengi  huyu  ndiye  tunamjua kuwa ni lazima jina lake lipelekwe  mahakamani  kwa  ajili  ya  kuthibitishwa  ili  aweze kuwa  msimamizi  kamili.  Makala itapitia Sheria  ya  Usimamizi  wa Mirathi, Sura…

UKO WAPI USALAMA VIWANJANI?

NA MICHAEL SARUNGI Mamlaka husika zinapaswa kuhakikisha ubora wa viwanja kabla ya timu kuruhusiwa kutumia viwanja hivyo ili kudhibiti fujo na kuepusha matatizo yanayoweza kutokea kati ya washabiki na wachezaji. Wakizungumza na JAMHURI, baadhi ya wapenzi wa michezo nchini wamesema…

YAH: SIMULIZI YA TANZANIA NIIJUAYO

Sijasimulia kiasi cha kutosha juu ya nchi yangu niipendayo, nchi ambayo nimeiishi kwa maisha na matendo, nchi ambayo ninaijua ‘ndani nje’, iwe kiuchumi, siasa, utamaduni, teknolojia, uzalendo na zaidi ya yote kiuongozi. Ni nchi ambayo labda inaweza ikawa ni historia…

MJANE ATIMULIWA KWENYE NYUMBA KWA MABAVU

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Mary Njogela (70), mjane anayehifadhiwa kwenye jumba bovu lililoko Mikocheni ‘B’ jijini Dar es Salaam baada ya kuondolewa kwa nguvu na watoto wa kufikia wa marehemu mume wake, anaomba msaada wa Serikali ili arejeshewe…

BURIANI GWIJI WA MUZIKI WA JAZZ HUGH MASEKELA

Na Moshy Kiyungi Tabora Mwanamuziki mashuhuri wa kimataifa wa Afrika Kusini, Hugh Masekela, amefariki dunia Januari 24, 2018 jijini Johannesburg, Afrika Kusini akiwa na umri wa miaka 78. Chanzo cha kifo chake ni ugonjwa wa tezi dume alioupata miaka kadhaa…

JIBU LA UPENDO NI UPENDO

Mwanaharakati Martin Luther King Jr amewahi kusema, “Nimeamua kujishughulisha na upendo. Chuki ni mzingo mzito sana ambao haubebeki.’’ Katika jamii yetu tunayoishi, tumeshuhudia au tumekutana na tunaendelea kukutana na watu ambao hawana furaha katika maisha yao. Tunakutana na watu wanaojilaumu…