JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: gazeti la jamhuri

TLS: Wampa kauli ngumu Rais Magufuli

Makala hii ni sehemu iliyokuwa imebaki wiki iliyopita katika risala iliyohaririwa ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, Godwin Ngwilimi,  katika maadhimisho ya siku ya Sheria nchini, Endelea………………. Majukumu hayo ni pamoja na kusimamia na kuboresha kiwango cha…

Lala Salama ya Ubunge kwa Chadema, CCM

Na Waandishi Wetu Vyama vyenye ushindani mkubwa wa kisiasa nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) vinaingia wiki ya mwisho kwa kampeni za uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam  na Siha…

MAULI MTULIA: Kinondoni Nichaguei, Shughuli Yangu ni Ubunge

NA ANGELA KIWIA LICHA ya kuwa Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kwa takribani miaka miwili, Maulid Mtulia hakuwa maarufu sana katika siasa za Tanzania, hadi Novemba 2, mwaka huu alipojiondoa katika chama hicho na kujiunga Chama Cha…

Wabunge Wanapotangaza Hali ya Hatari

NA ANGELA KIWIA Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametangaza hali ya hatari nchini. Wametangaza ya kuwa maisha ya Watanzania si salama tena, tunaishi maisha yasiyo na uhakika wa kuiona kesho kutokana na vitendo vya uhalifu kushamiri…

Korea Kaskazini Yaonyesha Nguvu za Kijeshi

Siku moja kabla ya kufunguliwa kwa michezo ya Olympiki ya Majira ya Baridi nchini Korea Kusini, Korea Kaskazini imefanya gwaride kubwa la kijeshi kuadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa kwa jeshi la nchi hiyo. Afisa wa Korea Kusini ambaye hakutaka kutajwa…

Mafanikio Yoyote Yana Sababu (9)

Na Padre Dk Faustin Kamugisha   Nia ni sababu ya mafanikio. Penye nia pana njia. Mtazamo wa “lazima nifanye kitu,” unatatua matatizo mengi kuliko mtazamo wa “kitu fulani lazima kifanyike.” Mtazamo wa kwanza una nguvu ya nia. “Nia yetu inaumba…