Tag: gazeti la jamhuri
Busara itumike katika matumizi ya maneno
Na Angalieni Mpendu Dhani na Ongopa ni maneno ambayo baadhi ya watu duniani huyatumia ima kwa nia njema, au kwa nia mbaya ya kuwagombanisha, kuwafarakanisha, kuwaangamiza, au kuwaua watu wengine katika familia, jumuiya au taifa. Ukweli maneno haya ni vitenzi,…
Yah: Tunajali vyeti na siyo uwezo wa mtu binafsi
Nianze na salamu za mfungo wa mwezi kwa Wakristo wenzangu. Najua lengo mojawapo ni kuombea amani na upendo baina yetu. Najua kwamba wengi wetu tunafaidi hii hali ya utulivu tulionao tofauti na mataifa mengine ambayo wakati mwingine hawajui kesho yao…
Chadema yahofia wapiga kura wachache
NA WAANDISHI WETU Takribani siku nne kabla ya kufanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na Siha mkoani Kilimanjaro, hofu ya kujitokeza wapiga kura wachache imeibuka kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHDEMA). Mgombea ubunge katika…
AFYA: Usizidharau dalili hizi
Hizi ni dalili mbalimbali zinazojitokeza kwenye miili yetu. Japo zinaweza zisiashirie tatizo, lakini kama ikitokea zinajirudia mara kwa mara ni vyema kupata vipimo na ushauri wa kiafya. Dalili ya kwanza ni udhaifu wa kwenye miguu na mikono kunakoambatana na ganzi….
Demokrasia iliyotundikwa msalabani
Mwaka 2015 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa taifa letu la Tanzania, niliandika makala nyingi katika gazeti hili la JAMHURI. Makala zangu zilikuwa zinakosoa mwenendo wa chama tawala (CCM). Sihitaji kusimulia kilichonitokea lakini inatosha kudokeza kiduchu: ‘Niliambulia vitisho vya kuondolewa uhai…
Vyeti ‘feki’ vyaendelea kuitesa ORCI
NA CLEMENT MAGEMBE DAR ES SALAAM Sakata la kuwaondoa kazini watumishi waliokuwa na vyeti `feki’ linadaiwa kuitesa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) jijini Dar es Salaam, kwa wafanyakazi waliobaki kuzidiwa na utoaji huduma kwa wahitaji hususani wagonjwa. Taarifa…