Tag: gazeti la jamhuri
Viongozi wajifunze kwa Ellen Sirleaf
NA MICHAEL SARUNGI Wiki chache zilizopita, Rais mstaafu wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, alitunukiwa tuzo ya Mo Ibrahim ya mafanikio katika uongozi wake katika kipindi cha mwaka uliopita, na kujizolea kiasi cha dola za Marekani milioni tano. Mwanamama huyo shupavu, ameiongoza…
Simba na Yanga zatahadharishwa
NA MICHAEL SARUNGI Ushindi wa klabu za Simba na Yanga katika mechi za kimataifa zilizocheza haziwezi kuwa kipimo cha ubora wao katika mashindano hayo ya kimataifa kutokana na udhaifu uliooneshwa na wapinzani wao, badala yake wanapaswa kujitathmini kabla. Wakizungumza na…
Musoma Vijijini inateketea (1)
Na Dk. Felician Kilahama Kwanza nianze makala hii kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye kwa mapenzi yake ametujalia zawadi ya uhai mpaka tukaweza kuufikia mwaka 2018. Ni mwaka wa matumaini, lakini pia umeanza kwa baadhi ya maeneo nchini mwetu kugubikwa na…
CCM yashinda Siha, Kinondoni “Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia”
*Zaidi ya wapiga kura laki tatu wasusia DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi, katika uchaguzi mdogo uliofanyika katika majimbo ya Siha na Kinondoni, wameibuka washindi. Jimbo la Siha, Dk.Godwin Mollel ametangazwa mshindi, huku Kinondoni akitangazwa…
Udumishaji wa udugu na Nchi za Kirafiki na Misaada kwa Wapigania Uhuru
Wiki iliyopita tulipata kusoma katika maandiko ya mwalimu “Maendeleo ni Kazi” jinsi chama kilivyotoa maagizo mawili ambayo ni siasa ni kilimo na agizo juu ya viwanda vidogo vidogo kama njia ya kutekeleza masharti ya uongozi. Sehemu inayofuata ni mwendelezo wa…
TIRDO: Maabara za utafiti wa kukuza uchumi viwanda
DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Shirika la Utafiti wa Maendeleo ya Viwanda nchini (TIRDO), limesema kwamba mwaka huu linaendelea kufanya utafiti wa kina kuhusu uanzishaji wa viwanda na kuipeleka nchi katika kukuza uchumi kwa njia ya viwanda. Mkurugenzi Mkuu…