Tag: gazeti la jamhuri
Tusome ishara za nyakati (3)
Na Pd. Tunda la Kanisa (M.afr) Wiki iliyopita mwandishi alizungumzia dhana ya kumtegemea Mungu katika kila uamuzi uufanyao kama binadamu. Je, leo unafahamu anazungumzia nini? Endelea… Katika somo la pili mtume Paulo anatuasa kuwa kila mtu afuate wito wake…
Ethiopian Airlines wanakula nini?
Na G. Madaraka Nyerere Tumesikia hivi karibuni kuwa kati ya mashirika ya umma ambayo yanapata hasara kubwa ni Air Tanzania Corporation Limited (ATCL), shirika letu la ndege la Taifa. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa…
Sababu zinazochangia uchovu mara kwa mara-
Uchovu ni kitu cha kawaida katika maisha ya binadamu. Kila mwanadamu hupitia hali hii na hasa baada ya kupitia shughuli mbalimbali ambazo zilitumia nguvu sana ya mwili au hata akili pia. Ni rahisi sana kuweza kutambua sababu uchovu wa mwili…
Uchaguzi Tanzania tutavuna tunachopanda
Kwa siku za karibuni nimejipa jukumu la kusoma vitabu vitakafitu. Nasoma Biblia na Korani Tukufu. Nasoma maandiko matakatifu. Katika safu hii sitarejea Biblia wala Korani Tukufu, bali ujumbe mmoja tu kutoka vitabu hivi – MAONYO YA MAKUHANI na wengine wanaoitwa…
Ndugu rais giza nene limetanda mbele yetu!
Ndugu Rais toka tupate uhuru nchi hii imeongozwa na marais watano katika awamu tano tofauti. Rais wa awamu ya kwanza, Mwalimu Julius Nyerere ameshatangulia nyumbani kwa Baba katika mapumziko yake ya milele. Kila anayemkumbuka humwombea mapumziko ya amani. Tumekuwa tukifundishwa…
Serikali ichunguze e-passport
Wiki mbili zilizopita tumechapisha habari za uchunguzi juu ya mradi wa e-passport. Tumeeleza katika habari hizo kuwa kuna ufisadi unaokadriwa kufikia Sh bilioni 90, fedha ambazo waliokabidhiwa jukumu la kutafuta mzabuni kama wangetenda kwa masilahi ya taifa basi zingeokolewa. Katika…