JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: gazeti la jamhuri

Kasoro uhawilishaji mashamba Kusini

SONGEA NA MUNIR SHEMWETA   Uwekezaji ni jambo muhimu hasa katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano ambayo msisitizo wake mkubwa ni Serikali ya Viwanda na kuelekea katika uchumi wa kati.   Hali hiyo inatokana na uwekezaji kuwa…

Upangaji kabla ujenzi wa jengo kukamilika

NA BASHIR YAKUB Sehemu nyingi za mijini utaona majengo marefu na makubwa ambayo yamekuwa yakijengwa, mengi ya majengo hayo huwa yanapangishwa hata kabla ya ujenzi wake kukamilika. Mengine hupangwa hata kabla ya ujenzi kuanza, watu hutizama tu ramani ya jengo…

Maji yaunganisha Serikali, upinzani

*Serikali yafungua mlango uwekezaji  katika viwanda *Mbowe ataka elimu, gesi itumike kuzalisha umeme *Zitto apendekeza kodi ya maji Sh 160 kama umeme REA *Wabunge wapendekeza tozo ya maji miamala ya simu Na Waadishi Wetu, Dodoma   Kwa mara ya kwanza katika…

Ndugu Rais nguzo imeanguka paa litashikiliwa na nani?

Ndugu Rais, Abdulrahman Kinana ametuacha! Anataka kupumzika. Mwanadamu ana siku moja tu ya kupumzika. Siku Muumba wako atakayokwita ukasimame mbele ya haki! Siku hiyo utakuwa umelala peke yako! Nawe utakuwa na mapumziko ya milele kwenye nyumba yako ya milele! Hapa…

Sudan Kusini kuwekewa vikwazo

JUBA Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limezipa muda wa mwezi mmoja pande hasimu zinazogombana nchini Sudan Kusini kufikia makubaliano vinginevyo nchi hiyo ijiandae kukabiliana na vikwazo. Mchakato huo uliongozwa na Marekani ndani ya Umoja huo ulipata ushindi mdogo…

Bomu la watu laja Afrika – mwisho

Na Deodatus Balile Mwezi uliopita nimefanya mapitio ya kitabu kiitwacho “Making Africa Work”. Tafsiri isiyo rasmi ya jina la kitabu hiki ni “Mbinu za Afrika kujikwamua kiuchumi.” Kimeandikwa na Greg Mills, Olusegun Obasanjo (Rais mstaafu wa Nigeria), Jeffrey Herbst na…