Tag: gazeti la jamhuri
MIMBA ZA UTOTONI ZINAVYOATHIRI WANAFUNZI DODOMA
NA EDITHA MAJURA Wanafunzi wa kike 710 mkoani Dodoma hawakufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka jana, kutokana na sababu mbalimbali, 67 kati ya hao wakitokana na ujauzito. Taarifa ya sekta ya elimu inayowasilishwa na Afisa Elimu wa Mkoa,…
MAENDELEO NI KAZI SEHEMU YA SABA
Maendeleo yana sheria zake. Ingawa tunasema kwamba, maendeleo yao yanakwenda mijini, mendeleo yote yanakwenda mijini. Ni kweli tunasema hivyo, lakini mnafikiria mijini wana uchawi? Kuna masharti ya maendeleo. Nimepata kutumia mfano- nadhani hapa hapa kwamba, mvua inaponyesha, kuna kitu uvutano…
GMOS: KIGINGI KWA UFANISI WA KILIMO MANYARA
NA RESTITUTA FISSOO, MANYARA Ni ukweli usiopingika kuwa ili kufikia azma ya Serikali ya kufanya kilimo kuwa biashara, kukuza kipato, matumizi ya sayansi na teknolojia vinahitajika ili kuongeza uzalishaji na tija kwa mkulima. Hata hivyo, teknolojia mpya ya kubadilisha vinasaba…
USHIRIKI WA WANANCHI KATIKA KUZUIA RUSHWA
Na Lawrence Kilimwiko, DAR ES SALAAM “Sisi tunaoishi vijijini huku, haki zetu zote zina bei. Yaani hata ukikamata mwizi wa ndizi yako, ili umkamate inabidi uwe na hela ya kumpa mgambo akukamatie mwizi wako. Ukimpeleka mahakamani unahitaji hela ya teksi,…
UAMUZI HUU WA SERIKALI UTAINYONGA ELIMU YETU
Na ATHUMANI KANJU Hivi karibuni, Serikali kupitia Kamishna wa Elimu, Dk Edicome Shirima, ilitoa taarifa kwa umma ikizitaka shule binafsi kuwarejesha mara moja katika madarasa yao wanafunzi waliokaririshwa madarasa ama kuhamishiwa shule nyingine kwa kigezo cha kushindwa kufikia wastani uliowekwa…
DAWA BANDIA TISHIO AFRIKA
NA MTANDAO Ongezeko la biashara ya dawa bandia limekuwa janga kubwa barani Afrika linalokua kwa kasi, huku ikiripotiwa kusababisha vifo vya watu wapatao 100,000 kwa mwaka. Utafiti uliofanywa na Shirika la Kimarekani linalojihusisha na dawa za magonjwa ya tropiki, limesema…