Tag: gazeti la jamhuri
Yah: Nadhani tumezidi unafiki
Mara nyingi nimekuwa nikishuhudia sifa nyingi sana za mtu pale ambapo ndiyo kwanza tumemaliza kutupia chepe la mwisho la mchanga katika kaburi lake. Huwa inakuwa hotuba nzuri ya kutia simanzi juu ya uwepo wake alipokuwa hai na jinsi ambavyo nafasi…
Kujitegemea – Nyerere
“Kujitegemea maana yake ni kwamba hatuna budi kutumia kwa juhudi zetu zote rasilimali yetu tuliyonayo.” Nukuu hii imetolewa kwenye kitabu cha nukuu za Kiswahili za Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere. Ubaguzi – Mandela…
Maandiko ya Mwalimu Nyerere: Ujamaa Sehemu ya 3
Leo Tanganyika ni nchi masikini. Hali ya maisha ya umma iko chini kiasi cha kuaibisha. Lakini kama kila mtu katika nchi, mke kwa mume, atatambua hayo na kufanya kazi ukomo wa nguvu zake, kwa faida ya nchi nzima, basi Tanganyika…
Maharamia watamba Rorya
Wizara ya Fedha imeombwa ipeleke boti wilayani Rorya, Mara ili kukabiliana na maharamia katika Ziwa Victoria. Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Simon Chacha, amesema matukio ya uvuvi haramu na biashara ya magendo vinashamiri Ziwa Victoria upande wa Rorya kutokana na…
Kilichomponza tajiri Zakaria
Mfanyabiashara Peter Zakaria (58), amerejesha mali zote alizonunua kutoka Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU), akiamini kwa kufanya hivyo ataondoa ‘nuksi’ ya kuandamwa na Serikali. Tajiri huyo mkazi wa Tarime mkoani Mara, anayemiliki vitegauchumi mbalimbali yakiwamo mabasi ya Zakaria, amekabidhi…
Bajeti yetu, kilimo na viwanda
Na Deodatus Balile, Abuja, Nigeria Wiki hii nimekuwa hapa jijini Abuja, Nigeria. Nimepata fursa ya kukutana na Rais Mohamed Buhari wa Nigeria. Nimekutana na mawaziri wa Habari, Fedha, Viwanda na Biashara. Kukutana kwetu kumekuwa kama zari. Kilichonileta hapa Nigeria ni…