Tag: chadema
SUMAYE: SINA MPANGO WA KURUDI CCM, AWATAJA JPM, JK NA MKAPA
KUTOKANA na kuibuka kwa wimbi la baadhi ya wanasiasa hapa nchini kuhama vyama vyao, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye ambaye ni kada wa Chadema amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kurudi Chama Cha Mapinduzi…
CHADEMA: VIONGOZI WA DINI MSIOGOPE KUIKOSOA SERIKALI
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani bila wao kusema jamii ya Watanzania itaangamia. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ametoa kauli hiyo wakati…
Majibizano Hayasaidii Ujenzi wa Demokrasia
Katika siku za karibuni kumekuwapo na malumbano kati ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Malumbano hayo yalitokana na kada wa Chadema, David Djumbe, aliyepitishwa na NEC kuwania kiti hicho, kuwasilisha barua ya kujitoa…
PIGO: CHADEMA YAZIDI KUANGAMIA
Kwa lugha nyingine tunaweza kusema CHADEMA inazidi kuangamia kutokana na kinachoendelea ndani ya chama hicho kuondokewa na viongozi pamoja na wanachama wake kutimkia chama tawala CCM. Leo aliyekuwa M/kiti wa CHADEMA Wilaya Ngorongoro, Samweli Ole Nakumbale, aliyekuwa mgombea ubunge wa…
Halima Mdee Anena Kuhusu Uuzwaji wa Nyumba za Serikali
Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Kawe Halima Mdee leo kupitia kwenye ukurasa wake wa Kijamii wa Twitter amesema uuzwaji wa nyumba za serikali ni miongoni mwa mambo ya Kifisadi yaliyowahi kutokea na yanayoendelea kuligharimu Taifa. Halima Mdee aliongeza kusema kuwa…
KESI YA LEMA KUTOA MANENO YA UCHOCHEZI DHIDI YA JPM: USHAHIDI WAANZA KUTOLEWA
Shahidi wa kwanza katika kesi ya kudaiwa kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli inayomkabili mbunge wa jimbo la Arusha mjini, Godbless Lema ameieleza mahakama kwamba alimtolea bastola mbunge huyo kwa kuwa alikuwa akijaribu kutoroka. Shahidi huyo, Damas Masawe…