Tag: chadema
MAZISHI YA MAMA KIBATALA YASABABISHA KUHARISHWA KWA KIKAO CHA CHADEMA
Kamati Kuu ya Chadema iliyokuwa imepangwa kufanyika leo imeahirishwa hadi kesho. Kikao hicho kimeahirishwa ili kutoa fursa ya viongozi na wanachama wa Chadema kushiriki mazishi ya Anna Mayunga ambaye ni mama wa mkurugenzi wa sheria wa chama hicho, , Peter…
CHADEMA KUKUTANA KUJADILI HALI YA KISIASA NCHINI
KAMATII Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) inakutana leo Jumamosi, Januari 13 ikiwa ni siku nne tangu Edward Lowassa alipofanya ziara Ikulu na kufanya mazungumzo na Rais Dkt. John Magufuli jambo ambalo lilizua mjadala ndani na nje ya…
Pombe Hii Imekorogwa na Upinzani Wenyewe
Kama kuna wakati viongozi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamefaidi usingizi wa pono, itakuwa ni wakati huu. Kila kukicha tunasoma habari za kiongozi mmoja au mwingine akihama kutoka chama cha upinzani na kujiunga CCM. Wengi wao ni…
BAVICHA: WANAOJIUNGA NA CCM HAWANA FIKRA ZA KUSAIDIA TAIFA
BARAZA la Vijana wa Chadema (Bavicha), limesema wimbi la kuhama kwa viongozi na wanachama wa chama hicho, unakipa nafasi ya kujirekebisha na kujipanga vizuri ikiwamo kubaki na wanaofuata misingi ya chama. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Katibu…
PIGO KWA MARA NYIGINE TENA MADIWANI WA CHADEMA LONGIDO WAJIUNGA NA CCM
Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Longido, mkoani Arusha, wamejivua uanachama wa chama hicho na kujiunga na CCM, pia jana hiyo hiyo tulishuhudia Mwanachadema mwingine, Muslim Hassanali alijiunga na CCM, Dar es Salaam. Kujiunga…
Lissu Apanda Ndege, Apelekwa Ubelgiji
Ndugu, jamaa, marafiki na wabunge wakimuaga Lissu hospitalini hapo kabla ya kuepelekwa Ubelgiji. MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi…