Tag: chadema
HALI SI SHWALI CHADEMA, MWENYEKITI WA BAVICHA KILIMANJARO ASIMAMISHWA KAZI
Hali ni tete ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua ya kumsimamisha uongozi Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, Dickson Kibona. Kibona alisimamishwa kazi Februari 28, mwaka huu, ikiwa zimepita siku…
CHADEMA YAZIDI KUTEKETEA, MADIWANI WAKE WAWILI WAJIUNGA CCM
Madiwani wawili kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiwa na makada 20 wa Vyama vya Upinzani wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wamekabidhi kadi zao kwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kyerwa na kuamua kuhamia ndani ya chama hicho. Madiwani hao waliohama…
CHADEMA wayakana matokeo ya Uchaguzi wa Marudio majimbo ya Kinondoni na Siha
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Vicent Mashinji imeeleza kuwa baada ya upigaji wa kura katika uchaguzi kumalizika Chadema wametoa tathmini yao ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Februari 17, 2018, kwenye majimbo…
Mwigulu Amtaka IGP Sirro Kufanya Uchunguzi wa Kina Mauaji ya Katibu wa CHADEMA, Kinondoni
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi kina kuhusu tukio la mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kata ya Hananasif, Daniel John yaliyotokea Kinondoni jijini Dar es Salaam na matukio mengine ya mauaji…
PIGO KWA CHADEMA MADIWANI WATATU WA CHADEMA WAAMIA CCM, NGORONGORO, ARUSHA
Arusha. Madiwani watatu wa chadema katika halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro mkoa Arusha ,wamejiuzuru na kujiunga na chama cha mapinduzi(CCM) Kujiuzulu kwa Madiwani hao sasa kumeongeza Madiwani wa Chadema waliohamia CCM mkoa wa Arusha ambao wanafikia 15 ndani ya mwaka…