JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: ccm

ZITTO KABWE APATA PIGO WANACHAMA WAKE ACT-WAZALENDO WAAMIA CCM

VIONGOZI kadhaa wa chama cha ACT Wazalendo na wanachama wao wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Machi 2, 2018. Akizungumza na wanahabari jijini Dar wakati wa kutoa maamuzi hayo, Katibu wa ACT Wazalendo…

CCM, CHADEMA Jiandaeni Kisaokolojia

Wiki hii unafanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni, Dar es Salaam na Siha, Kilimanjaro. Uchaguzi huu umeitishwa kutokana na waliokuwa wabunge Godwin Mollel (CHADEMA) na Maulid Mtulia (CUF) kuhama vyama vyao wakajiunga na CCM baada ya kuvutiwa na utendaji…

MTULIA ATAJA KERO ATAKAYOANZA NAYO AKIWA MBUNGE

MGOMBEA ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Abdallah Mtulia ameendelea kuomba kura huku akiwaambi wananchi yeye hana tofauti na wao. Mbunge wa jimbo la Mtera,Livingstone Lusinde akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni jana jioni katika viwanja…

POLE POLE AMTAKA MKURUGENZI HALMASHAURI ILALA KUTOA UFAFANUZI MIKOPO WANAYOTOA

KATIBU wa Nec Itikadi na uenezi Taifa wa Chama cha Mapinduzi, Humphrey Polepole ameuagiza uongozi wa Chama hicho wilaya chini ya Ubaya Chuma kumuita mkurugenzi wa Halmashauri ya Ilala na wasaidizi wake ili kupata ufafanuzi kuhusu mikopo wanayotoa. Amesema kuwa…

KATIBU WA UWT JUDITH LAIZER KUTATUA TATIZO LA VYOO KATIKA SHULE YA YA MSINGI ILULA NA ISOLIWAYA ZILIZOPO KILOLO

Katibu wa umoja wa wanawake wa Ccm (UWT) wilaya ya Kilolo Judith Laizer akiongea na baadhi ya viongozi ,walimu na wanafunzi wa shule ya msingi Isoliwaya wakatika wa kukabidhi msaada huo kwa ajili ya kujengea vyoo ya walimu wa shule…

ASAS: CCM ITAWASHUGHULIKIA WATENDAJI WOTE WA SERIKALI WATAKAOKWAMISHA JUHUDI ZA RAIS DK. MAGUFULI

MJUMBE wa Halmashauri kuu  CCM Taifa (NEC ) Salim Abri amesema kuwa CCM Mkoa wa Iringa itahakikisha inamshughulikia  mtendaji yeyote wa serikali  atakayeonyesha dalili ya kukwamisha  juhudi zinazofanywa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli. Kauli hiyo aliitoa mwishoni…