JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Tag: ccm

CCM wachukua fomu kumrithi Majimarefu Korogwe Vijijini

Wanachama  44 wa CCM wamejitokeza kuwania ubunge jimbo la Korogwe Vijijini. Wanacham 47 walichukua fomu hizo na 44 kati yao akiwamo mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Thomas Ngonyani wamerudisha fomu hzo. Jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na Stephen Ngonyani…

JULIUS KALANGA AWAVULUGA CCM MONDULI

Wanachama wa CCM wilaya ya Monduli wameandamana kwenye ofisi za chama hicho wakitaka Mbunge wa CHADEMA Julius Kalanga aliyejiunga na chama hicho kufuata utaratibu ikiwemo hatua za uteuzi wa nafasi ya kugombania ubunge. Wakizungumza katika ofisi hizo wamesema wamesikia taarifa…

Mbunge wa CHADEMA Jimboni kwa Lowassa ajiuzulu, arudi CCM

Mbunge wa jimbo la Monduli kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Julius Kalanga amejiuzulu na kujiunga na CCM kwa kile alichoeleza kuwa ni kuunga mkono juhudi Rais Magufuli. Kalanga amepokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa…

Mbunge WAITARA wa CHADEMA Ahamia CCM

MBUNGE wa Chadema Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amekihama chama hicho na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Waitara amesema sababu ni kutofautiana na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe baada ya kumhoji kwa nini chama hicho hakifanyi uchaguzi wa mwenyetiki…

Mwenyekiti UVCCM adai Chadema itaambulia majimbo mawili 2020

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Kheri James ametamba kwamba chama chake kitashinda katika uchaguzi mdogo wa Agosti 12, mwaka huu katika kata zote na ubunge wa jimbo la Buyungu. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni katika Kata ya…

Mgombea wa Udiwani Kata ya Turwa, Tarime Kupitia CCM Amepita Bila Kupingwa

Mkurugenzi wa Halamshauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa ameamua kumutangaza aliyekuwa Mgombea udiwani kata ya Turwa kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Bw Chacha Mwita Ghati kwa madai kuwa amepita bila kupingwa huku akieleza kuwa wagombea Wenzake kutoka vyama…