Tag: abdull nondo
BREAKING NEWS: Nondo Anazungumza Muda Huu na Waandishi
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP) ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo, amezungumza kwa mara ya kwanza na waandishi wa habari baada ya kuachiwa huru katika mahakama ya Iringa hapo jana. Katika…