Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 30, 2023
Habari Mpya
TADB yashiriki maonesho ya wiki ya maziwa Tabora
Jamhuri
Comments Off
on TADB yashiriki maonesho ya wiki ya maziwa Tabora
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi David Silinde(kushoto) akipata kutoka kwa Joseph Mabula Mratibu wa Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) unaoratibiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya wiki ya maziwa yanayofanyika mkoani Tabora. TADB kwa kushirikiana na wadau wengine wanatekeleza mradi wa T13P unaolenga kuwanufaisha wafugaji wadogo 100,000 wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wachakataji.
Kaimu meneja wa kanda ya Mgharibi Benki ya Maendeleo Tanzania (TADB) Furaha Sichula (kulia) akiteta jambo na Mark Tsoxo Mkuu wa Programu wa shirika la Heifer International wakati wa maonesho ya wiki ya maziwa yanayofanyika mkoani Tabora. TADB, Heifer International na Land’O Lakes wanashirikiana kutekeleza a Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) unaolenga kunufaisha wafugaji wadogo 100,000 wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wachakataji wa maziwa
Mratibu wa Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) Joseph Mabula (kulia)akizungumza na baadhi ya wanufaika wa mradi huo ambao walishiriki katika maonesho ya wiki ya maziwa inayiofanyika mkoani Tabora.
Afisa Biashara wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania Bw. Patrick Kapungu (wa pili kulia) akizungumza namteja aliyetembelea banda la TADB katika maonesho ya wiki ya maziwa yanayofanyika kitaifa mkoani Tabora. TADB kwa kushiriana na wadau mbali mbali inatekeleza Mradi Shirikishi wa Wasindikaji na Wazalishaji wa Maziwa (TI3P) utakaowanufaisha wafugaji wadogo 100,000 wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wachakataji maziwa
Post Views:
216
Previous Post
Mkutano wa IORA kuchochea uchumi wa buluu
Next Post
ATE yazindua mchakato wa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2023
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Habari mpya
Dk Ndumbaro achaguliwa Mwenyekiti Kamati Maalum ya Mawaziri wa Sheria ya Umoja wa Afrika
Ripoti ya mwaka ya Tanzania, Urusi kuelekea nchi ya ahadi
REA kusambaza mitungi ya gesi 19,530 mkoani Singida
Dk Biteko: Kagera bado ina fursa ya kuongeza uzalishaji wa kahawa
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani