Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ) Agnes Mtawa akimkabidhi Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya funguzo za baadhi ya wodi zilizopo ndani ya jengo la wodi ya watoto ambazo Hospitali hiyo imezitoa kwa JKCI ili wazitumie kutokana na uhaba wa wodi ya watoto walionao.

Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ) Agnes Mtawa akitoa maelezo kwa viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuhusu wodi zilizopo ndani ya jengo la watoto ambazo Hospitali hiyo imezitoa kwa Taasisi hiyo ili wazitumie kutokana na uhaba wa wodi ya watoto walionao.

Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ) Agnes Mtawa kuangalia wodi zilizopo ndani ya jengo la wodi ya watoto ambazo Hospitali hiyo imezitoa kwa Taasisi hiyo ili waweze kuzitumia kutokana na uhaba wa wodi ya watoto walionao.
Wodi zilizopo ndani ya jengo la wodi za watoto ambazo Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imezitoa kwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ili wazitumie kutokana na uhaba wa wodi ya watoto walionao.

Post Views: 315