Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
March 15, 2023
Habari Mpya
Spika Dkt.Tulia afanya mazungumzo na Rais wa IPU
Jamhuri
Comments Off
on Spika Dkt.Tulia afanya mazungumzo na Rais wa IPU
Spika wa Bunge la Tanzania na Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (Africa Geopolitical Group in the IPU), Dkt. Tulia Ackson, akiagana na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU),Duarte Pacheco, wakati alipomtembelea katika Ofisi ndogo za Rais huyo zilizopo katika Ukumbi wa Mikutano wa Exhibition World Bahrain wakati wa Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani kwa nia ya kusalimiana na kuboresha ushiriki wa Tanzania ndani ya Umoja huo.
Spika wa Bunge la Tanzania na Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (Africa Geopolitical Group in the IPU), Dkt. Tulia Ackson, Machi 14, 2023 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Duarte Pacheco, wakati alipomtembelea katika Ofisi ndogo za Rais huyo zilizopo katika Ukumbi wa Mikutano wa Exhibition World Bahrain wakati wa Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani kwa nia ya kusalimiana na kuboresha ushiriki wa Tanzania ndani ya Umoja huo
Post Views:
180
Previous Post
Waziri Majaliwa ashiriki mazishi ya mwandishi wa Channel Ten Abdulazizi Ahmed
Next Post
Malezi yazingatie maadili ya Mtanzania
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
Habari mpya
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Tume zaundwa kuchunguza mgogoro wa ardhi, uhamaji kwa hiari Hifadhi ya Ngorongoro
Soma Gazeti la Jamhuri Desemba 24 – 30, 2024
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu