Spika Dkt.Tulia afanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini
JamhuriComments Off on Spika Dkt.Tulia afanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa alipomtembelea leo tarehe 21 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa alipomtembelea leo tarehe 21 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.Spika wa Bunge,Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi yenye mfano wa jengo la Bunge Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa alipomtembelea leo tarehe 21 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.