Timu ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2 – 0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo Desemba 18, 2024 katika Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam.