Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia Agosti 23, 2022 kuwa siku ya mapumziko.

Lengo ni kuwezesha Watanzania kushiriki Sensa ya Watu na Makazi. Awali ilitangazwa kuwa siku hiyo haitakuwa aya mapumziko
Copyright 2024