JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Archives

Jinsi ya kupunguza mianya ya ukwepaji kodi

Katika matoleo yaliyopita, gazeti la JAMHURI limeandika kwa kina taarifa ya uchunguzi juu ya mbinu zinazotumiwa na SABmiller kutolipa kodi sahihi. Katika toleo la leo tunakuletea sehemu ya mwisho ambayo ni ushauri kwa Serikali jinsi inavyoweza kupunguza mianya ya kutolipa kodi sahihi….

Tufunge mlango wa misaada – 2

Wiki iliyopita sikuandika katika safu hii. Kwenye tanbihi, nilieleza kuwa ilikuwa nashughulikia habari nzito inayoendelea kuchapishwa na gazeti hili kuhusu Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutolipa kodi sahihi. Wiki moja kabla ya wiki iliyopita, ilikuwa nimezungumzia suala la nchi hii…

Jaji Mkuu Chande atembelea JAMHURI

Jaji Mkuu wa Tanzania (CJ), Othman Chande (pichani) Ijumaa iliyopita alifanya ziara ya ghafla katika ofisi za Gazeti la JAMHURI zilizoko katika Jengo la Matasalamat Mansion, barabara ya Samora jijini Dar es Salaam na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wahariri…

Tufungie mlango misaadaa ya wahisani

Zimepita wiki tano bila mimi kuandika safu hii ya SITANII. Nilikuwa na jukumu zito la kuuhabarisha umma juu ya mbinu za aina yake zinazotumiwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) kuepuka kodi. Katika habari hizo nimefanya uchunguzi wa kina…

Msuya kikaangoni

Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu (mstaafu), Cleopa David Msuya ameingia kikaangoni kutokana na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inayozimiliki Kampuni za Tanzania Distillers Limited (TDL), Darbrew Limited na Tanzania Breweries Limited kuingia katika kashfa ya ukwepaji kodi…

Kosa la Dk. Magufuli ni kusimamia sheria?

Nimesoma makala ya rafiki na kaka yangu Joster Mwangulumbi, iliyokuwa na kichwa cha habari: “Yako mengi tunayopaswa kuyatafakari”. Makala hiyo fupi, lakini kali, inamhusu mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli. Aya moja inasema: “Rais Kikwete na…