Archives
Ni hatari kuua biashara
Leo nimeona niandike mada inayogusa maisha ya kila Mtanzania – biashara. Naandika mada hii kutokana na mwenendo usioridhisha unaoonesha kuwa biashara nyingi hapa nchini zinakufa. Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa Tanzania ni taifa la wakulima na wafanyakazi. Ni kwa…
Vyombo vya habari binafsi
Kwa wiki mbili sasa sijaonekana katika safu hii. Niwie radhi msomaji wangu sikuchagua kutokuwapo, bali kutokana na kazi nzito ya kuchunguza magendo mpakani huko Tunduma, ilinipasa nisiwe mshika mawili. Leo nimerejea. Salamu za heri huwa hazichachi. Msomaji wangu nakutakia heri…
Tumetimiza miaka 5
Leo ni siku yenye umuhimu wa pekee kwa Kampuni ya Jamhuri Media Limited, wazalishaji wa Gazeti la JAMHURI. Leo tumetimiza miaka mitano (5) tukiwa sokoni tangu tulipochapisha nakala ya kwanza ya Gazeti la JAMHURI siku ya Desemba 6, mwaka 2011….
Rais Magufuli epuka ushauri huu!
Wiki iliyopita nilikuwa katika kipindi cha ‘Malumbano ya Hoja’ kinachorushwa ‘live’ na ITV. Mjadala kadiri ulivyoendelea nilipata shida kidogo. Niliwaona baadhi ya wachangiaji wakizungumza lugha ya hatari, ambayo ninaisoma katika baadhi ya magazeti. Wanasema Rais John Magufuli anahujumiwa. Sitanii, neno…
Hongera Magufuli, ila sukari, matrafiki…
Wiki iliyopita nilipata fursa ya kuzungumza na mtu mmoja mzito. Mazungumzo yetu yalikuwa ni kwa maslahi ya Taifa. Tulizungumzia ustawi wa Taifa letu na mwelekeo wa nchi chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli. Mazungumzo yetu yalijaa nia njema,…
Dangote amponza Kairuki TIC
Wakati aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), ametajwa kutenguliwa uteuzi wake kwa kukataa kuchukua mshahara wa Serikali kwa miaka mitatu mfululizo, uchunguzi umebaini kuwa jipu la kusamehe kodi Kampuni ya Saruji ya Dangote ndilo lililomwondoa. Uchunguzi uliofanywa na…