Archives
NAIBU WAZIRI MAVUNDE AHAMISHIA OPERESHENI YA KUWABAINI WAAJIRI WANAOKIUKA SHERIA ZA KAZI MKOANI MOROGORO
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana na Ajira, Mhe. Antony Mavunde, akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Tumbaku Alliance One Mkoani Morogopro leo Machi 9, 2018. Mhe. Mavunde ameagiza waajiri 242 Mkoani Morogoro ambao hawajajisajili na Mfuko…
Yasome hapa magazeti ya leo Jumanne Februari 27, 2018
GAZETI YA LEO JUMANNE FEBRUARI 27, 2018
Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 10, 2018
Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatano Januari,10, 2018 nimekuekea hapa …
Asotea mafao PPF miaka 15
Stanslaus Mlungu (78), aliyekuwa mfanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na kustaafu kazi Desemba 31, 1991 kutokana na matatizo ya kiafya, amelalamika kwamba ameibwa fedha zake za pensheni na watumishi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF mwaka 1992. Mlungu…
Ni hatari kuua biashara
Leo nimeona niandike mada inayogusa maisha ya kila Mtanzania – biashara. Naandika mada hii kutokana na mwenendo usioridhisha unaoonesha kuwa biashara nyingi hapa nchini zinakufa. Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa Tanzania ni taifa la wakulima na wafanyakazi. Ni kwa…