Archives
Waziri Kijaji ataka wenye viwanda kuzalisha bidhaa zenye ubora
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza bidhaa zenye ubora kwa gharama nafuu ili ziweze kuingia katika soko Eneo huru la biashara Afrika (AfCFTA) Ameyasema hayo Agosti 3, 2023 alipotembea Kiwanda cha kuzalisha Maziwa…
Rais Samia awataka Yanga waboreshe maslahi ya wachezaji, wamalize mzozo wa Fei Toto
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wadhamini wa Young Africans SC kuwaboreshea wachezaji maslahi yao sanjari na kuwakumbusha kukaa meza moja kufanya mazungumzo na Kiungo Feisal Salum (Feitoto). Rais Samia amesema hayo…
Rais Samia awataka watunza kumbukumbu kutunza siri, kuwa na nidhamu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Muhsusi na Watunza kumbukumbu kuwa na nidhamu, uadilifu na kutunza siri kwani ndio chachu ya maendeleo. Amesema wanapaswa kuzingatia weledi wa taaluma zao kwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kuzingatia miongozo na…
Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa mshauri wake wa masuala ya kilimo na chakula
Katika kutekeleza azimio la Viongozi wa nchi za Afrika, kupitia Mkutano wa Utoshelevu na Ustahimilivu wa Chakula (Dakar 2 Summit on Feed Africa: Food Sovereignty and Resilience) uliofanyika Dakar, Senegal Januari 25 hadi 27 , 2023, waliazimia kila nchi kuunda…
NMB yatangaza wadhamini NMB Marathon 2022
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wiki moja kabla ya kufanyika kwa Mbio za Hisani za NMB Marathon ‘Mwendo wa Upendo,’ Benki ya NMB inayoandaa mbio hizo imetangaza wadhamini zaidi ya 20, ambao wameeleza siri ya uamuzi wa kukubali kudhamini kuwa ni kuguswa…