JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Archives

Wanahisa TBL wapitisha hesabu za mwaka 2025 baada ya mwaka wa ukuaji wenye faida

▪︎TBL imehitimisha mwaka kwa ongezeko la faida, ukuaji endelevu wa chapa zake Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL Plc) imefanya Mkutano Mkuu wa 53 wa Wanahisa katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha…

TBL yatoa wito wa hatua za pamoja za kukabiliana na hatari za pombe haramu Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia, Dar es Salaam Kampuni ya Tanzania Breweries Limited (TBL) imetoa wito wa kuwepo kwa hatua za pamoja na endelevu ili kukabiliana na tatizo la pombe haramu nchini, ikionya kuwa hali hii inaendelea kuhatarisha afya ya wananchi,…

Mpango akutana na uongozi TBL

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni hiyo Leonard Mususa, Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Benki…

TAKUKURU yawachunguza TBL

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanya uchunguzi wa kina kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuthibitisha habari za kiuchunguzi zilizofanywa na gazeti hili la JAMHURI na kubaini kuwa TBL wanatumia udhaifu wa sheria kukwepa kodi nchini….

Ujanja wa SABmiller mabosi wa TBL

Kampuni ya SABmiller haitafuni kwa bahati mbaya matunda ya kodi pekee kutoka nchi zinazoendelea.  Mikakati yake ya kukwepa kodi ni zaidi ya kawaida, kwani inatumia njia ya kampuni zinazohusiana na kampuni hiyo zilizozoko sehemu mbalimbali duniani. Kadhalika, inatumia Kundi la…

Mkataba TBL balaa

Ni vigumu kupata maneno sahihi ya kutumia yakaeleweka kutokana na janga ambalo watendaji wa Serikali walioshiriki katika majadiliano ya kuibinafsisha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) waliliingiza taifa, kwani mkataba wa TBL ni balaa kubwa kwa nchi, baada ya siri…