Archives
Mpango akutana na uongozi TBL
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Kampuni hiyo Leonard Mususa, Mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Benki…
TAKUKURU yawachunguza TBL
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeanza kufanya uchunguzi wa kina kwa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuthibitisha habari za kiuchunguzi zilizofanywa na gazeti hili la JAMHURI na kubaini kuwa TBL wanatumia udhaifu wa sheria kukwepa kodi nchini….
Ujanja wa SABmiller mabosi wa TBL
Kampuni ya SABmiller haitafuni kwa bahati mbaya matunda ya kodi pekee kutoka nchi zinazoendelea. Mikakati yake ya kukwepa kodi ni zaidi ya kawaida, kwani inatumia njia ya kampuni zinazohusiana na kampuni hiyo zilizozoko sehemu mbalimbali duniani. Kadhalika, inatumia Kundi la…
Mkataba TBL balaa
Ni vigumu kupata maneno sahihi ya kutumia yakaeleweka kutokana na janga ambalo watendaji wa Serikali walioshiriki katika majadiliano ya kuibinafsisha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL Group) waliliingiza taifa, kwani mkataba wa TBL ni balaa kubwa kwa nchi, baada ya siri…
TBL wakwepa kodi hadi Uingereza
Kwa muda wa wiki sita tumekuwa tukikuletea mwedelezo wa taarifa jinsi kampuni ya SABmiller inayomiliki Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL) inavyotumia udhaifu wa kisheria kutolipa kodi sahihi. Ifuatayo ni taarifa ya utafiti uliofanywa na Kampuni ya Uingereza iitwayo ActionAid…
Wanywaji wailalamikia TBL
Wananchi na watumiaji wa bia wamelalamikia hatua ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupandisha bei ya bia kabla hata bajeti ya Serikali haijapitishwa. Tangu Aprili 1, 2016 bei za bia zimepanda kutoka wastani wa Sh 2,300 na kufikia 2,500, huku…