Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 27, 2023
Habari Mpya
Samia azungumza na Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
Jamhuri
Comments Off
on Samia azungumza na Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mama Graca Machel, mke wa zamani wa aliyekuwa Rais wa Msumbiji, Samora Machel ambaye pia ni Mwanasiasa na Mtetetzi wa Haki za Binadamu kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova mara baada ya mazungumzo Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Somalia Mhe. Hamza Abdi Barre kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Mhe. Hussein Abdelbagi Akol Agany kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri kutoka Ofisi ya Rais ya Namibia Mhe. Christine Hoebes mara baada ya mazungumzo yao Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Please follow and like us:
Post Views:
187
Previous Post
Moto wa Mediterania waua zaidi ya watu 40
Next Post
Waziri Jafo aridhishwa uzingatiaji sheria ya mazingira bandari Mtwara
Hezbollah yathibitisha kifo cha kiongozi wake, Nasrallah
Waziri Ridhiwani aongoza kampeni ya kukabiliana na afya ya akili
Rais Dk Samia afunga Kikao Maalum cha UWT Taifa Bombambili, Songea
Lina PG Tour yafufua gofu Moshi
Rais Samia azungumza na wanafunzi, wazazi baada ya kuzindua Sekondari ya Wasichana Namtumbo
Habari mpya

Wakati umefika wa Afrika kubadilika kwa kutumia nishati safi ya kupikia – Rais Samia
Waendesha baiskeki kumuenzi Mwalimu Nyerere
WWF wakutana na wadau kujadili na kuboresha utekelezaji wa Uhifadhi Bioanuai
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania atembelea Msumbiji
Biden awaalika viongozi wa dunia kwenye mkutano kuhusu Ukraine
Palestina: Acheni kuipatia Israel silaha
Papa Francis akosoa kuibuka tena kwa vita
Serikali yatoa trekta tano kwa wanaotekeleza Mradi wa BBT Njombe
Rais Samia aagiza kufufuliwa kiwanda cha korosho Tunduru
Serikali yaahidi kutumia ndege nyuki kuwaondoa tembo kwenye makazi ya watu Tunduru