Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
February 5, 2023
Habari Mpya
Samia awasili Bujumbura kushiriki mkutano maalumu wa 20 wa wakuu wa nchi za EAC
Jamhuri
Comments Off
on Samia awasili Bujumbura kushiriki mkutano maalumu wa 20 wa wakuu wa nchi za EAC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu hao wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Bujumbura nchini Burundi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wa Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu hao wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Bujumbura nchini Burundi
R
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati wa Wimbo wa Jumuiya hiyo ukipigwa kabla ya kuanza kwa Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu hao wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika Bujumbura nchini Burundi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Melchior Ndadaye
, Bujumbura nchini Burundi kwa ajili ya kushiriki Mkutano Maalum wa 20 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
Post Views:
105
Previous Post
Dkt.Mpango aitwisha mzigo UWT Pwani
Next Post
Serikali yatoa siku saba kwa maeneo yanayofanya uchafuzi wa mazingira unaotokana na kelele kujitafakari
Rais Samia: Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji
Wizara ya Michezo yaikabidhi siku 120 Suma JKT kukamilisha viwanja vya michezo
Aweso ataka utafiti upatikanaji maji Dodoma
Vijana Queens yafutiwa matokeo
NMB kuchangia bil.1/- matibabu ya watoto JKCI
Habari mpya
Rais Samia: Serikali itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji
Wizara ya Michezo yaikabidhi siku 120 Suma JKT kukamilisha viwanja vya michezo
Aweso ataka utafiti upatikanaji maji Dodoma
Vijana Queens yafutiwa matokeo
NMB kuchangia bil.1/- matibabu ya watoto JKCI
Benki ya Dunia yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Heet Chuo Kikuu Mzumbe
Watoto 85 wapatikana kwa upandikizaji mimba Kairuki Green IVF
Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki kuapishwa leo
Waliotuhumiwa kuingilia mfumo ya mawasiliano wasomewa mashtaka 120
Madiwani Malinyi washauriwa kuwa mfano ya kutoa hamasa wananchi kushiriki Uchaguzi Serikali za Mitaa
Fahamu kombora jipya la Korea Kaskazini linaloipa tumbo joto Marekani
Baraza la Afya ya Akili kuanzishwa nchini
Rais Dkt. Samia ashiriki mjadala kuhusu Kilimo barani Afrika nchini Marekani
Rais Samia ateta na Mtendaji Mkuu wa Millenium Challenge Corporation
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’