Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 15, 2023
Kitaifa
Samia apokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai nchini
Jamhuri
Comments Off
on Samia apokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali baada ya kupokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania wakiwa kwenye hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said wakiwa kwenye hafla ya kupokea Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya uwasilishwaji wa Taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania wakiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo pamoja na Sekretarieti Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Mhe. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Eng. Zena Said, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman wakati wa picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume hiyo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Post Views:
339
Previous Post
Polisi yatoa onyo wanaovaa nguo zinazofana na sare za majeshi
Next Post
Injinia Kundo ampa tano Rais Samia
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia