Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 6, 2023
Michezo
Samia akiwa na Rais wa Malawi Chakwera wakikagua timu za Nyasa Big bullets na Yanga nchini Malawi
Jamhuri
Comments Off
on Samia akiwa na Rais wa Malawi Chakwera wakikagua timu za Nyasa Big bullets na Yanga nchini Malawi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakitoka kukagua Timu za Nyasa Big bullets na Yanga katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya pamoja na Waamuzi (Marefa) wa mchezo kati ya Nyasa Big Bullets na Yanga uliofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera kwenye picha ya pamoja na Timu ya Nyasa Big Bullets ya Malawi katika maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi yaliyofanyika katika uwanja wa Taifa wa Bingu, Lilongwe nchini Malawi tarehe 6 Julai, 2023.
Post Views:
580
Previous Post
Rais Samia ashiriki maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi
Next Post
Msataafu Kikwete awapa kongole Muhimbili
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga