Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 16, 2024
MCHANGANYIKO
RPC Mtatiro azindua kampeni ya usambazaji nishati ya kupikia nchini kati ya G4S na Oryx Gas
Jamhuri
Comments Off
on RPC Mtatiro azindua kampeni ya usambazaji nishati ya kupikia nchini kati ya G4S na Oryx Gas
Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Mr. Benoit Araman(kushoto) akimsikiliza jambo Mkurugenzi mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga(kulia)wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima, Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam
.
Kamanda wa Polisi kinondoni, RPC Mtatiro Kitinkwi (katikati)pamoja na Mkurugenzi mtendaji wa Oryx Tanzani, Mr. Benoit Araman(kushoto) na Mkurugenzi mtendaji wa G4S, Imelda Lutebinga wakizindua kampeni ya ushirikiano kati ya G4S na Oryx Gas ikiwa ni kampeni mahusus ya kusambaza Nishati Safi ya kupikia kwa kampuni ya G4S nchi nzima, Lengo likiwa kuunga mkono kampeni ya kumtua mama kuni kichwani iliyoanzishwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Hafla hiyo ilifanyika jana jijini Dar es salaam.
Post Views:
339
Previous Post
Rais Samia afungua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Rukwa
Next Post
Babati DC haijakurupuka bali imejipanga na miradi yenye Viwango -Mnzava
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga