Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 9, 2022
Gazeti Letu
Rais Zanzibar azungumza na balozi wa Japan
Jamhuri
Comments Off
on Rais Zanzibar azungumza na balozi wa Japan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Misawa Yasushi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Misawa Yasushi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2022,na (kulia kwake) Afisa wa Ubalozi wa Japan Tanzania Bi.Eri Ogawa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Misawa Yasushi alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9-11-2022 na (kulia kwake) Afisa wa Ubalozi wa Japan nchini Ta
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) mgeni wake Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe.Misawa Yasushi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-11-2022, alipofika kujitambulisha
Post Views:
300
Previous Post
Bil.20/- kulipa watumishi walioondolewa kazini kwa kughushi vyeti
Next Post
Mwasa:Tangu enzi za Baba wa Taifa mila zilitumika kuomba mvua
Zaidi ya wanawake 600 kutoka mikoa saba kujengewa uwezo masuala ya uongozi
TMA yatoa utabiri wa msimu wa mvua za masika 2025
Wakazi zaidi ya 1,000 Mpiji Magoe kunufaika na huduma ya majisafi
Rais Samia azungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Ikulu jijini Dar
Mitaala 21 ya TEHAMA vyuoni yahakikiwa
Habari mpya
Zaidi ya wanawake 600 kutoka mikoa saba kujengewa uwezo masuala ya uongozi
TMA yatoa utabiri wa msimu wa mvua za masika 2025
Wakazi zaidi ya 1,000 Mpiji Magoe kunufaika na huduma ya majisafi
Rais Samia azungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Ikulu jijini Dar
Mitaala 21 ya TEHAMA vyuoni yahakikiwa
Bunge laipongeza Tume ya Tehama kukipeleka Kiswahili duniani
Tanzania kuanza kuzalisha kompyuta
Haya hapa matokeo kidato cha nne 2024/2025
Trump apanga kuwekeza katika akili mnemba
ACT Wazalendo yampongeza Lissu kwa ushindi
TMA: Mwaka 2024 umevunja rekodi kwa kuwa na joto kali duniani
Diaspora kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa
Rais Dkt. Samia awasili Dar akitokea Dodoma kwa usafiri wa Treni ya Umeme ya (SGR)
Noti mpya za fedha kuanza kutumika Februari 1,2025
Benki Kuu yanunua tani 2.6 za dhahabu inayochimbwa nchini – Waziri Mavinde