JamhuriComments Off on Rais Zanzibar akutana na Waziri Mambo ya Nje Iran
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (kushoto) baada ya mazungumzo yao leo alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.[Picha na IkuluRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (wa tatu kushoto) alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.