Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati akimsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakiwapungia mkono wananchi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akipunga mkono wakati akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar mara baada ya kuhitimisha ziara yake tarehe 04 Julai, 2024.
Please follow and like us:
Pin Share