Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 22, 2023
Habari Mpya
Rais Samia, Widodo washuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia, Widodo washuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo na Ujumbe wake yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stergomena Tax na Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia Mhe. Retno L.P Marsodi Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dr. Venance Bahati Mwasse na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Madini ya PT Mineral Industri Indonesia (PERSERO) Dany Amrul Ichdan Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Bw. Maharage Chande na Rais Mtendaji wa Kampuni ya (PLN) Bw. Darmawan Prasodjo Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakishuhudia utiaji saini Hati za Makubaliano kati ya Tanzania na Indonesia iliyotiwa saini na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya (TPDC) Bw. Mussa Mohamed Makame na Rais Mtendaji wa Kampuni ya (PERTAMINA) Bi. Nicke Widyawati Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo akizungumza na Wanahabari wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Agosti, 2023.
Post Views:
163
Previous Post
Dk Mpango awataka Ma-RC,RAS kufuata maadili na nidhamu ya kazi
Next Post
Serikali yaridhia uamuzi wa Indonesia kukufua shughuli za kituo cha FARTC Morogoro
Rais Samia azungumza na Balozi wa Japan hapa nchini
Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu NMB
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Habari mpya
Rais Samia azungumza na Balozi wa Japan hapa nchini
Rais Samia akutana na Afisa Mtendaji Mkuu NMB
Rais Samia aipongeza Zanzibar Heroes
Mwanamuziki wa injili Rehema Simfukwe atoboa siri sababu kutunga wimbo wa Chanzo
Watoto mapacha wamuua mama yao mzazi
Waliokaidi ukaguzi magari ya shule wakamatwa Arusha
Bilioni 5 kujenga soko la kimataifa Missenyi
Baba atuhumiwa kuua watoto wawili
Wazima moto wapambana kuzuia moto mkubwa Los Angeles
-Tanzania ipo tayari kupokea wakuu wa nchi Afrika katika mkutano wa Nishati wa Mision 300′
Matumizi ya Baruti yaongezeka nchini
Wananchi wampongeza Rais Samia kufikisha umeme vituo vya afya vijijini
Simba yazidi kuchanja mbuga
Balozi Nchimbi amjulia hali Mzee Mangula
Maria Sarungi atekwa Nairobi