Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 10, 2022
Habari Mpya
Rais Samia Suluhu ahutubia mamia ya wananchi Njombe
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia Suluhu ahutubia mamia ya wananchi Njombe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Soko Kuu la Njombe Mjini mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi Soko Kuu la Njombe Mjini katika hafla iliyofanyika mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara wa matunda na viatu katika Soko Kuu la Njombe mara baada ya kulizindua Soko hilo tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitembelea Soko Kuu la Njombe Mjini mara baada ya kulizindua rasmi Soko hilo tarehe 10 Agosti, 2022.
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya Tanganyika Wattle ltd Jaswant Singh Rai kuhusu utendaji kazi wa kiwanda hicho ikiwemo uzalishaji wa umeme ambao hutumika kiwandani hapo pamoja na kuiuzia Tanesco kwa ajili ya matumizi ya Wananchi tarehe 10 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea na kukagua kinu cha kufua Umeme katika Kiwanda cha TANWAT Miwati Mkoani Njombe tarehe 10 Agosti, 2022
.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Njombe katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sabasaba Mkoani humo tarehe 10 Agosti, 20
22
Post Views:
211
Previous Post
Mwinyi ashuhudia makabidhiano ya 'data' utafutaji mafuta na gesi asilia Zanzibar
Next Post
Ziara ya katibu Mkuu CCM Chongolo wilayani Lushoto
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Habari mpya
Naibu Waziri Kundo aongoza kikao kazi na watumishi sekta ya maji Pwani
Juma Burhan: Mifumo ya kidijitali itaongeza uwazi, uwajibikaji
Marekani yaishutumu Urusi kwa kufadhili vita Sudan
Dk Nchemba afungua mafunzo ya Kamati ya PAC
Tanzania kushirikiana na Italia kuendeleza sekta ya madini
Idadi ya watu waliofariki tetemeko la ardhi Tibet yafikia 95
MSD yapongezwa kwa maboresho ya huduma mkoani Kagera
Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo katika Kisiwa cha Bawe Zanzibar
Ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu, vyama andaeni sera
Mrithi wa Kinana kupatikana Januari 19
Taasisi zilizosajiliwa RITA zatakiwa kuwasilisha marejesho ya mwaka
Bil 4.6/- kujenga daraja Tanganyeti
Trump bado anakabiliwa na hukumu ya kumlipa kahaba
Waziri Mkuu amjulia hali Naibu Waziri wa Ardhi Godfrey Pinda
Waziri Mhagama agawa mashine 185 za uchuguzi wa kifua kikuu nchi nzima