Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na amefanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar leo Februari 18, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023. PICHA|IKULU MAWASILIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.PICHA|IKULU MAWASILIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan, Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023. PICHA|IKULU MAWASILIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023. PICHA|IKULU MAWASILIANO

Post Views: 259