Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 18, 2024
Kitaifa
Rais Samia Hassan atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia Hassan atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari ya Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki
Baadhi ya Wahadhiri na Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ankara wakiwa kwenye hafla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali, baadhi ya waandishi wa habari, wanafunzi pamoja na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Baadhi ya viongozi pamoja na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma nchini Uturuki wakati akijiandaa kuingia ukumbini kwa ajili ya hafla ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha Ankara tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu cha Ankara tarehe 18 Aprili, 2024. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Necdet Unuvar pamoja na Waziri wa Familia na Huduma za Jamii wa Uturuki Mahinur Ozdemir Goktas kushoto.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wageni mbalimbali, viongozi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ankara, mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki Profesa Necdet Unuvar kwenye hafla iliyofanyika Chuoni hapo tarehe 18 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari (Honoris Causa) ya Uchumi katika Chuo Kikuu cha Ankara nchini Uturuki tarehe 18 Aprili, 2024.
Post Views:
468
Previous Post
Dk Biteko: Bwawa la Umeme la Julius Nyerere liko salama
Next Post
Miaka 60 ya Muungano, Tanzania yang'ara uongozi wa Taasisi za Kikanda na Kimataifa
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
Habari mpya
Wataalamu wa lishe Igunga watakiwa kuongeza ubunifu
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia