Rais Samia azungumza na viongozi katika mkutano wa AGRA Marekani
JamhuriComments Off on Rais Samia azungumza na viongozi katika mkutano wa AGRA Marekani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya Kilimo katika Mkutano wa AGRA uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington MarekaniViongozi mbalimbali pamoja na wadau walioshiriki kwenye Mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington MarekaniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Hailemariam Desalegn ambaye ni Mwenyekiti wa Mfuko wa AGRF pamoja na wadau mbalimbali mara baada ya mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani