Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda wake Mhe. Yasushi Misawa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.