Rais Samia azindua zoezi la kujiandikisha Daftari la Wapia Kura Dodoma
JamhuriComments Off on Rais Samia azindua zoezi la kujiandikisha Daftari la Wapia Kura Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.