Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
June 23, 2023
Habari Mpya
Rais Samia azindua ugawaji wa boti 40 za uvuvi kwenye Tamasha la Vyakula vya Baharini Z’bar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia azindua ugawaji wa boti 40 za uvuvi kwenye Tamasha la Vyakula vya Baharini Z’bar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali ya Maonesho ya Biashara kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akigawa Boti hizo kwa baadhi ya Waakilishi wa Vikundi mbalimbali vya Uvuvi wa Samaki na mazao Bahari kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua ugawaji wa Boti 40 za Uvuvi kwa ajili ya kukabidhi vikundi mbalimbali vya Uvuvi wa Samaki na mazao Bahari kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023. Viongozi wengine pichani ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega pamoja na Viongozi wengine wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kuwasili kwenye msimu wa pili wa Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival 2023) lililofanyika katika ufukwe wa Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar tarehe 23 Juni, 2023.
Post Views:
444
Previous Post
Polisi kutoka Ujerumani, Thailand wabadilishana uzoefu masuala ya Polisi jamii
Next Post
Polisi Pwani watoa huduma za matibabu kwa watoto
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Habari mpya
Dk Kazungu atembelea miradi ya umeme Dar es Salaam
Rais Mstaafu Dk Ali Mohamed Shein aweka jiwe la msingi jengo la Mahakama Mkoa wa Kaskazini Unguja
Bandari Tanga yaingiza mapato zaidi ya bilioni 100
Polisi Dar yaimarisha ulinzi, yazuia fataki
Rais Samia afungua uchumi wa nchi kwa kukaribisha wawekezaji nchini – Ulega
Waziri Mkuu aagiza TANROADS waongeze kasi ya ujenzi daraja la Simiyu
Chana atoa maagizo halmashauri za wilaya
Bashungwa awajulia hali majeruhi ajali ya Biharamulo, abiria 11 wapoteza maisha
Papa Francis azungumzia ‘ukatili’ unaotendeka Gaza
Ajali ya Boti yaua 38 DRC, zaidi ya 100 hawajulikani walipo
IGP Wambura afumua Kikosi cha Usalama Barabarani
Nyabiyonza FC yaibuka kidedea dhidi ya Nyuki FC
Majaliwa aipongeza Wizara ya Ujenzi kurejesha mawasiliano barabara Kuu Manyara – Singida
Kampeni ya Mama Samia yapatiwa magari 10
DK. Mwinyi aweka jiwe la msingi Flyover Kwerekwe