Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mlimani City tarehe 22 Machi 2025, Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo Rais Dkt. Samia ameonyeshwa vifaa mbali mbali vinavyotumika katika utafutaji wa vyanzo na uchimbaji wa visima vya maji.