Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
December 16, 2023
Gazeti Letu
Rais Samia azindua mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) jijini Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia azindua mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda kuzindua mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kibao cha Uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Afisa Mitihani kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Bi. Fatma Muhidini Mshana kuhusu utengenezaji wa Vyeti pamoja na shughuli mbalimbali zinazofanywa na Baraza hilo wakati wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Watoto wa Shule ya Msingi Kisutu wakati wakitumbuiza mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Viongozi wa Dini wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Baadhi ya Wanafunzi wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) katika Ofisi za Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Chapa na Uchapishaji kutoka Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Edward Haule kuhusu shughuli mbalimbali za uchapaji wa Mitihani pamoja na Nyaraka mbalimbali wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Baraza hilo Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Post Views:
391
Previous Post
Wizara ya Afya yaielekeza MSD kujiendesha kibiashara na kuwa wabunifu
Next Post
Rais Samia aiagiza Wizara ya Elimu ishirikiane na Wizara ya Habari ili wanafunzi vijijini wafanye mitihani ya sayansi kwa mtandao
Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Uhusiano baina ya Tanzania, Czech kung’ara
Rais Samia, Mwinyi mitano tena
Simba njia nyeupe
Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Habari mpya
Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Uhusiano baina ya Tanzania, Czech kung’ara
Rais Samia, Mwinyi mitano tena
Simba njia nyeupe
Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Wazazi jamii ya kifugaji wamuomba Waziri kuingilia kati sakata la kuchukuliwa kwa watoto wao kinyemela
‘Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa wa Chama Cha Mapinduzi’
Matukio mbalimbali wakati Mkutano Mkuu wa CCM
Wasira ndiye Makamu Mwenyekiti CCM
Lissu ametoa taarifa za uongo, sijatoa rushwa popote – Naftal
JKCI wafundishwa teknolojia ya kisasa ya kuziba matundu ya moyo
Kagame ailaani Jumuiya ya Kimataifa kutilia shaka Rwanda
Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu kuelekea mkutano mkuu maalumu wa CCM
Rais Samia ateua na kuhamisha viongozi
Shirikisho la Waandishi wa habari Afrika Mashariki laanzishwa kutetea haki za wanahabari