Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 9, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia azindua kiwanda cha kuunganisha kiwanda cha kuunganisha malori na matipa Kigamboni Dar
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia azindua kiwanda cha kuunganisha kiwanda cha kuunganisha malori na matipa Kigamboni Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug wakati akikata utepe kuzindua Kiwanda hicho kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipiga makofi pamoja na Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo mara baada ya kuzindua Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited Chirag Panna wakati akikagua kazi mbalimbali za kuunganisha magari kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Kiwanda cha Saturn Corporation Limited Bw. Chetan Chug pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho Chirag Panna mara baada ya kukagua shughuli mbalimbali Kiwandani hapo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
Taswira ya magari mbalimbali yaliyounganishwa katika Kiwanda cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria uzinduzi wa Kiwanda cha Kuunganisha Malori na Matipa cha Saturn Corporation Limited kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Mei, 2024.
Post Views:
483
Previous Post
Magari, abiria waliokwama Lindi kwa siku sita waanza kuendelea na safari
Next Post
Serikali yaainisha mpango wa kusaidia wachimbaji wadogo nchini
Samia, Mwinyi watuma salamu za rambirambi kifo cha Aga Khan IV
DRC: Tangazo la M23 la usitishaji vita sio la kuaminika
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Wananchi watakiwa kutumia fursa ya miradi kuunganisha umeme – Kapinga
Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia, urithi wake utadumu milele
Habari mpya
Samia, Mwinyi watuma salamu za rambirambi kifo cha Aga Khan IV
DRC: Tangazo la M23 la usitishaji vita sio la kuaminika
Shirika la Posta la Marekani lasimamisha usafirishaji mizigo ya China
Wananchi watakiwa kutumia fursa ya miradi kuunganisha umeme – Kapinga
Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia, urithi wake utadumu milele
CAG Kichere aipa heko TANROADS ujenzi uwanja wa ndege Msalato
Mvua yapoteza miundombinu Chuo cha Sauti Mtwara
Trump apendekeza Marekani ichukue udhibiti wa Ukanda wa Gaza
Mahakama ya Afrika yajadili masuala ya jinsia katika utoaji wa fidia
Waziri Silaa aiagiza bodi UCSAF kusimamia ujenzi wa minara 758 ya mawasiliano vijijini
Taasisi za haki jinai na madai zinahitaji mabadiliko na mageuzi makubwa – Jaji Mugeta
Rais Samia : Dunia imetambua jitihada za Tanzania katika sekta ya afya
Utendaji kazi kituo cha huduma kwa wateja TANESCO wamkwaza – Dk Biteko
Rais Dk Samia apokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya Global Goalkeeper Award
Rais Dkt. Samia l apokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award