Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
March 17, 2023
Habari Mpya
Rais Samia azindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(Africa Food Systems Forum) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia azindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(Africa Food Systems Forum) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na Wageni kutoka Nje ya Nchi wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023, (
Africa Food Systems Forum2023
), uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
Msanii Mrisho Mpoto akitumbuiza katika uzinduzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023 (
Africa Food Systems Forum2023
), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Tanzania kabla ya kuzindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(
Africa Food Systems Forum 2023
), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023 (
Africa Food Systems Forum2023
), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Mkutano wa Uzinduzi wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(
Africa Food Systems Forum2023
), tarehe 17 Machi, 2023.
Post Views:
260
Previous Post
Polisi wakamata bastola ikiwa na risasi 71
Next Post
Ibada maalumu ya miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano hayati Dkt. John Magufuli
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Habari mpya
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga
Balozi Nchimbi akutana na Kardinali Rugambwa Tabora
Msajili Hazina atangaza kifo cha Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Amos Nnko
Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow