Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 29, 2023
Habari Mpya
Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo Kizimkazi Kusini Unguja
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia azindua hoteli ya kitalii iliyopo Kizimkazi Kusini Unguja
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia pamoja na Wasanii wa ngoma ya asili ya Zanzibar (Kibati) mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza Bw. Hossam Elshaer kuashiria ufunguzi wa Hoteli hiyo iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hoteli iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wamiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza mara baada ya kuwasili katika hoteli hiyo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza Bw. Hossam Elshaer wakati alipokuwa akitembelea Hoteli hiyo mara baada ya kuwasili Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Hoteli iitwayo Kwanza mara baada ya kuifungua Hoteli hiyo iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi kutoka kwa mmiliki wa Hoteli ya Kitalii iitwayo Kwanza iliyopo Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja Zanzibar tarehe 29 Agosti, 2023.
Post Views:
991
Previous Post
Rais Samia azindua mradi wa maji Kizimkazi kuelekea kilele cha Tamasha la Kizimkazi
Next Post
Yanga SC yaichakaza JKT Tanzania 5-0
Changamoto ya wafanyabiashara wageni kufanyakazi za Watanzania kutatuliwa
TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa baadhi ya mikoa
Rais Samia ameing’arisha Chamwino kimaendeleo – Dk Biteko
Dk Masika aridhishwa utekelezaji mradi wa Membe
TPA yapeleka wafanyakazi 23 kuongeza ujuzi nchini Misri
Habari mpya
Changamoto ya wafanyabiashara wageni kufanyakazi za Watanzania kutatuliwa
TMA yatoa utabiri wa mvua kubwa baadhi ya mikoa
Rais Samia ameing’arisha Chamwino kimaendeleo – Dk Biteko
Dk Masika aridhishwa utekelezaji mradi wa Membe
TPA yapeleka wafanyakazi 23 kuongeza ujuzi nchini Misri
Watendaji daftari la wapiga kura watakiwa kufanyakazi kwa weledi
Mkuu wa shule ajiua kwa kunywa sumu
Watu 54 wauwawa baada ya RSF kushambulia soko Sudan
Mwanafunzi aliyejinyonga kwa mtandio azikwa
Majaliwa: Tanzania imejipanga maandalizi CHAN, AFCON
Serikali kupitia upya maslahi ya kada ya ualimu nchini
Watatu wafariki baada ya gari walilopanda kugongana na basi la Ester
Uandikishaji daftari la kudumu la wapiga kura Pwani, Tanga kufanyika Februari 13-19
Baraza la Madiwani Same laidhinisha bajeti ya bilioni 63.42 kwa mwaka 2025/26
SADC watangaza mshikamano na DRC