Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Mkazi wa Gairo Melina Yustino Mkasanga ambaye amejifungua mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta
kitambaa kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na
viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na madaktari pamoja na Wauguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Mkazi wa Gairo Melina Yustino Mkasanga ambaye amejifungua mtoto katika Hospitali ya Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024