Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
April 7, 2024
MCHANGANYIKO
Rais Samia aweka shada la maua kwenye Makaburi ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Rwanda
Jamhuri
Comments Off
on Rais Samia aweka shada la maua kwenye Makaburi ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Rwanda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye eneo la Makaburi kwa ajili ya kuweka shada la maua wakati wa Maadhimisho ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda. Maadhimisho hayo ya miaka 30 yamefanyika katika Makumbusho ya Mauaji ya Kimbari, Kigali nchini Rwanda na kuhudhuriwa na viongozi kutoka nchi mbalimbali tarehe 07 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima mara baada ya kuweka shada la maua kwenye eneo la Makaburi ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda tarehe 07 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakimshuhudia Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame akiwasha mwenge wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda tarehe 07 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kushuhudia kuwashwa kwa mwenge wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda tarehe 07 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka shada la maua kwenye eneo la Makaburi ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda tarehe 07 Aprili, 2024.
Post Views:
410
Previous Post
Timu ya madaktari bingwa watua Katavi
Next Post
Rais Dk Mwinyi aongoza kisomo cha Hitma kumuombea hayati Sheikh Abeid Amani Karume Zanzibar
Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Habari mpya
Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla
Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa
Rais Samia apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi hapa nchini Chamwino Dodoma
Balozi Nchimbi awasili kufunga kampeni za Serikali za Mitaa Dar es Salaam
Waliofariki kwa kuporomokewa na ghorofa Kariakoo wafikia 29
ACT ni suluhisho la changamoto Kizenga – Abdul Nondo
‘Vijana mbuni miradi inayoendana na fursa’
Majaliwa ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa
ACT – Hatukubali unyanyasaji na ufisadi Mtambani
RC Chalamila wananchi jitokezeni kwa wingi kupiga kura Novemba 27, 2024